Isaya 20:2 BHN

2 Miaka mitatu kabla ya hapo, Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwambia Isaya, mwana wa Amozi hivi: “Nenda ukavue vazi la gunia unalovaa kiunoni, na viatu miguuni mwako.” Isaya akafanya hivyo; akawa anatembea uchi na bila viatu.

Kusoma sura kamili Isaya 20

Mtazamo Isaya 20:2 katika mazingira