Isaya 20:1 BHN

1 Sargoni mfalme wa Ashuru, alimtuma jemadari wake mkuu kuuvamia mji wa Ashdodi. Naye akaushambulia na kuuteka.

Kusoma sura kamili Isaya 20

Mtazamo Isaya 20:1 katika mazingira