Isaya 21:8 BHN

8 Kisha huyo mlinzi akapaza sauti:“Bwana, nimesimama juu ya mnara wa ulinzi mchana kutwa,nimeshika zamu usiku kucha!”

Kusoma sura kamili Isaya 21

Mtazamo Isaya 21:8 katika mazingira