Isaya 21:9 BHN

9 Tazama, kikosi kinakuja,wapandafarasi wawiliwawili.Wanasema: “Babuloni umeanguka! Umeanguka!Sanamu zote za miungu yakezimetupwa chini na kuvunjwavunjwa!”

Kusoma sura kamili Isaya 21

Mtazamo Isaya 21:9 katika mazingira