Isaya 23:12 BHN

12 Alisema: “Ewe binti Sidonihutaweza kufanya sherehe tena;hata ukikimbilia Kupro,huko nako hutapata pumziko!”

Kusoma sura kamili Isaya 23

Mtazamo Isaya 23:12 katika mazingira