Isaya 23:15 BHN

15 Hapo mji wa Tiro utasahaulika kwa muda wa miaka sabini, muda wa maisha ya mfalme. Baada ya miaka hiyo sabini, mji wa Tiro utakumbwa na kile watu wanachoimba juu ya malaya:

Kusoma sura kamili Isaya 23

Mtazamo Isaya 23:15 katika mazingira