16 “Twaa kinubi chakouzungukezunguke mjini,ewe malaya uliyesahaulika!Imba nyimbo tamutamu.Imba nyimbo nyinginyingiili upate kukumbukwa tena.”
Kusoma sura kamili Isaya 23
Mtazamo Isaya 23:16 katika mazingira