Isaya 24:14 BHN

14 Watakaosalia watapaza sauti,wataimba kwa shangwe.Kutoka magharibi watatangaza ukuu wa Mwenyezi-Mungu,

Kusoma sura kamili Isaya 24

Mtazamo Isaya 24:14 katika mazingira