Isaya 24:13 BHN

13 Kama vile zeituni chache tu juu ya mzeituniau tini chache tu juu ya mtinibaada ya kumaliza mavuno,ndivyo itakavyokuwa katika nchi zote:Watu wachache watabakia hai.

Kusoma sura kamili Isaya 24

Mtazamo Isaya 24:13 katika mazingira