Isaya 24:23 BHN

23 Kisha mwezi utaaibishwa,nalo jua litaona aibu kuangaza,kwa kuwa Mwenyezi-Mungu wa majeshiatatawala huko Yerusalemu katika mlima Siyoni;ataonesha wazee wa watu wake utukufu wake.

Kusoma sura kamili Isaya 24

Mtazamo Isaya 24:23 katika mazingira