1 Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe Mungu wangu;nitakutukuza na kulisifu jina lako,kwa maana umetenda mambo ya ajabu;waitekeleza kwa uaminifu na kwelimipango uliyoipanga tangu zamani.
Kusoma sura kamili Isaya 25
Mtazamo Isaya 25:1 katika mazingira