Isaya 25:2 BHN

2 Umeufanya mji ule kuwa rundo la mawe,mji wenye ngome kuwa uharibifu.Majumba ya watu wageni yametoweka,wala hayatajengwa tena upya.

Kusoma sura kamili Isaya 25

Mtazamo Isaya 25:2 katika mazingira