11 Watainyosha mikono yao kama mtu anayejaribu kuogelea, lakini pamoja na ustadi wao, Mwenyezi-Mungu ataporomosha kiburi chao.
Kusoma sura kamili Isaya 25
Mtazamo Isaya 25:11 katika mazingira