Isaya 25:10 BHN

10 Mwenyezi-Mungu ataulinda mlima wa Siyoni, lakini watu wa Moabu watakanyagwakanyagwa nchini mwao kama nyasi katika shimo la mbolea.

Kusoma sura kamili Isaya 25

Mtazamo Isaya 25:10 katika mazingira