Isaya 25:9 BHN

9 Siku ile, watu wote watasema, “Huyu ndiye Mungu wetu! Tumemngojea atuokoe. Huyu ndiye Mwenyezi-Mungu tuliyemtazamia. Njoni tufurahi na kushangilia kwa kuwa ametuokoa.”

Kusoma sura kamili Isaya 25

Mtazamo Isaya 25:9 katika mazingira