6 Juu ya mlima Siyoni, Mwenyezi-Mungu wa majeshi atawafanyia watu wote karamu ya vinono na divai nzuri, nyama tamu na mafuta, pamoja na divai safi.
Kusoma sura kamili Isaya 25
Mtazamo Isaya 25:6 katika mazingira