Isaya 25:7 BHN

7 Katika mlima huuhuu, Mwenyezi-Mungu ataliondoa wingu la huzuni lililowafunika watu wote, kifuniko cha uchungu juu ya mataifa yote.

Kusoma sura kamili Isaya 25

Mtazamo Isaya 25:7 katika mazingira