Isaya 26:13 BHN

13 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu,tulipata kutawaliwa na watu wengine na miungu yao,lakini twakiri wewe pekee kuwa Mungu wetu.

Kusoma sura kamili Isaya 26

Mtazamo Isaya 26:13 katika mazingira