Isaya 26:14 BHN

14 Watu hao wamekufa, wala hawataishi tena;wamekuwa mizimu, wala hawatafufuka.Maana wewe umewaadhibu na kuwaangamiza,hakuna atakayeweza kuwakumbuka tena.

Kusoma sura kamili Isaya 26

Mtazamo Isaya 26:14 katika mazingira