15 Umelikuza taifa letu, ee Mwenyezi-Mungu,naam, umelizidisha taifa letu.Umeipanua mipaka yote ya nchi,kwa hiyo wewe watukuka.
Kusoma sura kamili Isaya 26
Mtazamo Isaya 26:15 katika mazingira