18 Sisi tulipata maumivu ya kujifungualakini tukajifungua tu upepo!Hatukupata ushindi wowote kwa ajili ya nchi yetu,hatukuweza kuongeza idadi ya watu katika nchi.
Kusoma sura kamili Isaya 26
Mtazamo Isaya 26:18 katika mazingira