Isaya 26:19 BHN

19 Wafu wako wataishi tena,miili yao itafufuka.Wanaolala mavumbini wataamka na kuimba kwa furaha!Mungu atapeleka umande wake wa uhai,nao walio kwa wafu watatoka hai.

Kusoma sura kamili Isaya 26

Mtazamo Isaya 26:19 katika mazingira