Isaya 26:20 BHN

20 Njoni watu wangu, ingieni majumbani mwenu,mkajifungie humo ndani.Jificheni kwa muda mfupi,mpaka ifike ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Isaya 26

Mtazamo Isaya 26:20 katika mazingira