Isaya 26:21 BHN

21 Maana Mwenyezi-Mungu aja kutoka kwake juu,kutoka makao yake huko mbinguni;kuwaadhibu wakazi wa dunia kwa uovu wao.Nayo dunia haitaficha tena wale waliouawa,ila itaufichua umwagaji damu wote.

Kusoma sura kamili Isaya 26

Mtazamo Isaya 26:21 katika mazingira