Isaya 27:1 BHN

1 Siku hiyo, Mwenyezi-Mungu atautwaa upanga wake mkubwa, mkali na imara, na kuliadhibu dude Lewiyathani joka lirukalo na danganyifu; Mwenyezi-Mungu ataliua joka liishilo baharini.

Kusoma sura kamili Isaya 27

Mtazamo Isaya 27:1 katika mazingira