Isaya 26:9 BHN

9 Moyo wangu wakutamani usiku kucha,nafsi yangu yakutafuta kwa moyo.Utakapoihukumu dunia,watu wote ulimwenguni watajifunza haki.

Kusoma sura kamili Isaya 26

Mtazamo Isaya 26:9 katika mazingira