Isaya 26:10 BHN

10 Lakini waovu hata wakipewa fadhili,hawawezi kujifunza kutenda haki.Hata katika nchi ya wanyofu,wao bado wanatenda maovu,wala hawajali ukuu wako wewe Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Isaya 26

Mtazamo Isaya 26:10 katika mazingira