Isaya 28:1 BHN

1 Ole wenye majivuno na walevi wa Efraimu,fahari yake inatoweka kama ua linalonyauka!Naam, fahari iliyotawala bondeni kwenye rutubarutuba;na vichwani kwao walio watu walevi kupindukia!

Kusoma sura kamili Isaya 28

Mtazamo Isaya 28:1 katika mazingira