Isaya 28:2 BHN

2 Bwana amejichagulia mtu wake shujaa na mwenye nguvu,ambaye ni kama mvua ya mawe na dhoruba kali,kama tufani ya mafuriko makubwa;kwa mkono wake atawatupa chini ardhini.

Kusoma sura kamili Isaya 28

Mtazamo Isaya 28:2 katika mazingira