Isaya 28:12 BHN

12 Hata hivyo yeye alikuwa amewaahidi:“Nitawaonesheni pumziko,nitawapeni pumziko enyi mliochoka.Hapa ni mahali pa pumziko.”Lakini wao hawakutaka kunisikiliza.

Kusoma sura kamili Isaya 28

Mtazamo Isaya 28:12 katika mazingira