Isaya 28:13 BHN

13 Kwa hiyo kwao neno la Mwenyezi-Mungu litakuwa tu:Sheria sheria, mstari mstari;mara hiki, mara kile!Nao watalazimika kukimbialakini wataanguka nyuma;watavunjika, watanaswa na kutekwa.

Kusoma sura kamili Isaya 28

Mtazamo Isaya 28:13 katika mazingira