21 Maana Mwenyezi-Mungu atainuka kama kule mlimani Perazimu;atawaka hasira kama kule bondeni Gibeoni.Atatekeleza mpango wake wa ajabu;atatenda kazi yake ya kustaajabisha.
Kusoma sura kamili Isaya 28
Mtazamo Isaya 28:21 katika mazingira