Isaya 28:22 BHN

22 Basi, nyinyi msiwe na madharauvifungo vyenu visije vikakazwa zaidi.Maana nimesikia kuwa Mwenyezi-Mungu wa majeshiameazimia kuiangamiza nchi yote.

Kusoma sura kamili Isaya 28

Mtazamo Isaya 28:22 katika mazingira