Isaya 29:10 BHN

10 Mwenyezi-Mungu amewamiminia hali ya usingizi mzito;ameyafumba macho yenu enyi manabii,amefunika vichwa vyenu enyi waonaji.

Kusoma sura kamili Isaya 29

Mtazamo Isaya 29:10 katika mazingira