Isaya 29:9 BHN

9 Endeleeni kuwa wapumbavu na kuduwaa!Jipofusheni na kuwa vipofu!Leweni lakini si kwa divai;pepesukeni lakini si kwa pombe.

Kusoma sura kamili Isaya 29

Mtazamo Isaya 29:9 katika mazingira