Isaya 29:8 BHN

8 Mataifa yote yanayoushambulia mji wa Yerusalemuyatakuwa kama mtu mwenye njaa anayeota anakulalakini aamkapo bado anaumwa na njaa!Au mtu mwenye kiu anayeota kuwa anakunywa,lakini anaamka mdhaifu, bado ana kiu.

Kusoma sura kamili Isaya 29

Mtazamo Isaya 29:8 katika mazingira