Isaya 29:7 BHN

7 Hapo, kundi la mataifa yote yanayoshambulia Yerusalemu,wote wanaoshambulia ngome yake na kuutia wasiwasi,watatoweka kama ndoto, kama maono ya usiku.

Kusoma sura kamili Isaya 29

Mtazamo Isaya 29:7 katika mazingira