Isaya 29:12 BHN

12 Na ukimpa mtu yeyote asiyejua kusoma, ukamwambia, “Hebu nisomee kitabu hiki,” atakuambia, “Sijui kusoma.”

Kusoma sura kamili Isaya 29

Mtazamo Isaya 29:12 katika mazingira