13 Bwana asema,“Watu hawa huja kuniabudu kwa maneno matupu,hali mioyo yao iko mbali nami.Wananiheshimu kulingana na mapokeo ya watu tu,jambo walilojifunza wao wenyewe.
Kusoma sura kamili Isaya 29
Mtazamo Isaya 29:13 katika mazingira