Isaya 29:14 BHN

14 Hivyo, nitawatenda tena watu hawa maajabu,mambo ya ajabu na ya kushangaza.Nao wenye hekima wao wataishiwa hekima,na busara ya wenye busara wao itatoweka.

Kusoma sura kamili Isaya 29

Mtazamo Isaya 29:14 katika mazingira