Isaya 29:15 BHN

15 “Ole mnaomficha Mwenyezi-Mungu mipango yenu,mnaotenda matendo yenu gizanina kusema: ‘Hamna atakayetuona;nani awezaye kujua tunachofanya?’

Kusoma sura kamili Isaya 29

Mtazamo Isaya 29:15 katika mazingira