Isaya 30:17 BHN

17 Watu wenu elfu moja watamkimbia askari mmoja adui;na askari watano maadui watawakimbizeni nyote.Mwishowe, watakaosaliawatakuwa kama mlingoti wa bendera mlimani,kama alama iliyo juu ya kilima.

Kusoma sura kamili Isaya 30

Mtazamo Isaya 30:17 katika mazingira