18 Hata hivyo, Mwenyezi-Mungu anangoja awafadhili,atainuka na kuwaonea huruma.Maana, Mwenyezi-Mungu ni Mungu atendaye haki.Heri wote wale wanaomtumainia.
Kusoma sura kamili Isaya 30
Mtazamo Isaya 30:18 katika mazingira