Isaya 30:27 BHN

27 Tazameni, Mwenyezi-Mungu mwenyewe anakuja toka mbali!Amewaka hasira na moshi wafuka;midomo yake yaonesha ghadhabu yake,maneno anayosema ni kama moto uteketezao.

Kusoma sura kamili Isaya 30

Mtazamo Isaya 30:27 katika mazingira