Isaya 30:28 BHN

28 Pumzi yake ni kama mafuriko ya mtoambao maji yake yanafika hadi shingoni.Anakuja kuyachekecha mataifa kwa chekecheke ya maangamizi,kuwafunga lijamu na kuwapeleka wasikotaka.

Kusoma sura kamili Isaya 30

Mtazamo Isaya 30:28 katika mazingira