Isaya 35:10 BHN

10 Waliokombolewa na Mwenyezi-Mungu watarudi,watakuja Siyoni wakipiga vigelegele.Watakuwa wenye furaha ya milele,watajaliwa furaha na shangwe;huzuni na kilio vitatoweka kabisa.

Kusoma sura kamili Isaya 35

Mtazamo Isaya 35:10 katika mazingira