Isaya 36:3 BHN

3 Nao walilakiwa na Eliakimu mwana wa Hilkia, aliyekuwa msimamizi wa ikulu, Shebna aliyekuwa katibu, pamoja na mwandishi Yoa mwana wa Asafu.

Kusoma sura kamili Isaya 36

Mtazamo Isaya 36:3 katika mazingira