Isaya 36:2 BHN

2 Kisha mfalme wa Ashuru alimtuma jemadari mkuu kutoka Lakishi na jeshi kubwa kumwendea mfalme Hezekia. Jemadari alisimama karibu na mfereji wa bwawa lililoko upande wa juu katika barabara kuu inayoelekea uwanda wa Dobi.

Kusoma sura kamili Isaya 36

Mtazamo Isaya 36:2 katika mazingira