Isaya 37:1 BHN

1 Basi, mfalme Hezekia aliposikia habari hiyo alirarua mavazi yake, akavaa vazi la gunia, akaingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Isaya 37

Mtazamo Isaya 37:1 katika mazingira