Isaya 37:22 BHN

22 basi huu ndio ujumbe wangu kuhusu huyo mfalme:Mji wa Siyoni, naam, Yerusalemu,unakudharau na kukutukana.Yerusalemu, mji mzuriunakutikisia kichwa kwa dhihaka.

Kusoma sura kamili Isaya 37

Mtazamo Isaya 37:22 katika mazingira